Ufu. 2:19 Swahili Union Version (SUV)

Nayajua matendo yako na upendo na imani na huduma na subira yako; tena kwamba matendo yako ya mwisho yamezidi yale ya kwanza.

Ufu. 2

Ufu. 2:13-27