Ufu. 2:18 Swahili Union Version (SUV)

Na kwa malaika wa kanisa lililoko Thiatira andika;Haya ndiyo anenayo Mwana wa Mungu, yeye aliye na macho yake kama mwali wa moto, na miguu yake mfano wa shaba iliyosuguliwa sana.

Ufu. 2

Ufu. 2:15-20