Ufu. 16:19 Swahili Union Version (SUV)

Na mji ule mkuu ukagawanyikana mafungu matatu, na miji ya mataifa ikaanguka; na Babeli ule mkuu ukakumbukwa mbele za Mungu, kupewa kikombe cha mvinyo ya ghadhabu ya hasira yake.

Ufu. 16

Ufu. 16:16-21