Ufu. 16:18 Swahili Union Version (SUV)

Pakawa na umeme na sauti na radi; na palikuwa na tetemeko la nchi kubwa, ambalo tangu wanadamu kuwako juu ya nchi hapakuwa namna ile, jinsi lilivyokuwa kubwa tetemeko hilo.

Ufu. 16

Ufu. 16:16-21