Tit. 3:13-15 Swahili Union Version (SUV)

13. Zena, yule mwana-sheria, na Apolo, uwasafirishe kwa bidii, wasipungukiwe na cho chote.

14. Watu wetu nao wajifunze kudumu katika matendo mema, kwa matumizi yaliyo lazima, ili wasiwe hawana matunda.

15. Watu wote walio pamoja nami wakusalimu. Tusalimie wale watupendao katika imani.Neema na iwe pamoja nanyi nyote.

Tit. 3