Watu wote walio pamoja nami wakusalimu. Tusalimie wale watupendao katika imani.Neema na iwe pamoja nanyi nyote.