Imba, Ee binti Sayuni; piga kelele, Ee Israeli;Furahi na kushangilia kwa moyo wako wote, Ee binti Yerusalemu.