Hiyo siku ya BWANA iliyo kuu i karibu;I karibu, nayo inafanya haraka sana;Naam, sauti ya siku ya BWANA;Shujaa hulia kwa uchungu mwingi huko!