Kwa kuwa imeandikwa,Kama niishivyo, anena Bwana, kila goti litapigwa mbele zangu;Na kila ulimi utamkiri Mungu.