Hata mbwa-mwitu hutoa matiti,Huwanyonyesha watoto wao;Binti ya watu wangu amekuwa mkali,Mfano wa mbuni jangwani.