Omb. 2:8 Swahili Union Version (SUV)

BWANA amekusudia kuuharibuUkuta wa binti Sayuni;Ameinyosha hiyo kamba,Hakuuzuia mkono wake usiangamize;Bali amefanya boma na ukuta kuomboleza;Zote pamoja hudhoofika.

Omb. 2

Omb. 2:1-14