Jinsi Bwana alivyomfunika binti SayuniKwa wingu katika hasira yake!Ameutupa toka mbinguni hata nchiHuo uzuri wa Israeli;Wala hakukikumbuka kiti cha miguu yakeKatika siku ya hasira yake.