Naye huyo binti SayuniEnzi yake yote imemwacha;Wakuu wake wamekuwa kama ayalaWasioona malisho;Nao wamekwenda zao hawana nguvuMbele yake anayewafuatia.