Watesi wake wamekuwa kichwa,Adui zake hufanikiwa;Kwa kuwa BWANA amemtesaKwa sababu ya wingi wa makosa yake;Watoto wake wadogo wamechukuliwa matekaMbele yake huyo mtesi.