Mwa. 49:11 Swahili Union Version (SUV)

Atafunga punda wake katika mzabibu,Na mwana-punda wake katika mzabibu mzuri.Amefua nguo zake kwa mvinyo,Na mavazi yake kwa damu ya zabibu.

Mwa. 49

Mwa. 49:5-20