Fimbo ya enzi haitaondoka katika Yuda,Wala mfanya sheria kati ya miguu yake,Hata atakapokuja Yeye, mwenye milki,Ambaye mataifa watamtii.