Mwa. 43:14 Swahili Union Version (SUV)

Mungu Mwenyezi na awape rehema usoni pa mtu yule ili awafungulie ndugu yenu huyo mwingine, na Benyamini. Nami nikifiwa na watoto wangu, nimefiwa.

Mwa. 43

Mwa. 43:7-21