Mwa. 15:2 Swahili Union Version (SUV)

Abramu akasema, Ee Bwana MUNGU, utanipa nini, nami naenda zangu hali sina mtoto, na atakayeimiliki nyumba yangu ni huyu Eliezeri, Mdameski?

Mwa. 15

Mwa. 15:1-12