Mit. 6:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Mwanangu, kama umekuwa mdhamini wa rafiki yako,Ikiwa wewe na mgeni mmepana mikono,

2. Basi umetegwa kwa maneno ya kinywa chako,Umekamatwa kwa maneno ya kinywa chako,

3. Sasa, mwanangu, fanya hivi ukajiokoe,Kwa kuwa umejitia mkononi mwa jirani yako;Nenda ukanyenyekee, na kumsihi jirani yako.

Mit. 6