Sasa, mwanangu, fanya hivi ukajiokoe,Kwa kuwa umejitia mkononi mwa jirani yako;Nenda ukanyenyekee, na kumsihi jirani yako.