Mit. 21:10 Swahili Union Version (SUV)

Nafsi ya mtu mbaya hutamani uovu;Jirani yake hapati fadhili machoni pake.

Mit. 21

Mit. 21:2-12