Mit. 11:4-6 Swahili Union Version (SUV)

4. Mali hazifaidii kitu siku ya ghadhabu;Bali haki huokoa na mauti.

5. Haki yake mtu mkamilifu itamwongoza njia yake;Bali mtu mwovu ataanguka kwa uovu wake.

6. Haki yao wenye haki itawaokoa;Bali wafanyao fitina watanaswa kwa hila yao wenyewe.

Mit. 11