Mit. 11:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Mizani ya hadaa ni chukizo kwa BWANA;Bali vipimo vilivyo sawasawa humpendeza.

2. Kijapo kiburi ndipo ijapo aibu;Bali hekima hukaa na wanyenyekevu.

Mit. 11