Mit. 10:30-31 Swahili Union Version (SUV)

30. Mwenye haki hataondolewa milele;Bali wasio haki hawatakaa katika nchi.

31. Kinywa cha mwenye haki hutoa hekima;Bali ulimi wa ukaidi utakatiliwa mbali.

Mit. 10