Enyi wajinga, hata lini mtapenda ujinga?Na wenye dharau kupenda dharau yao,Na wapumbavu kuchukia maarifa?