Hulia penye mikutano mikubwa ya watu,Mahali pa kuyaingilia malango,Ndani ya mji hutamka maneno yake.