Maneno ya wenye hekima yanenwayo taratibu husikiwa,Zaidi ya mlio wake atawalaye katikati ya wapumbavu.