9. Heri kuona kwa macho,Kuliko kutanga-tanga kwa tamaa.Hayo nayo ni ubatili, na kujilisha upepo.
10. Na awe kitu cho chote, aliitwa jina lake zamani za kale, naye amejulikana kuwa ndiye mwanadamu; wala hawezi kabisa kushindana na yeye aliye na uwezo kuliko yeye mwenyewe.
11. Basi, kwa kuwa kuna mambo mengi yaongezayo ubatili, mwanadamu hufaidiwa nini?