Mhu. 6:10 Swahili Union Version (SUV)

Na awe kitu cho chote, aliitwa jina lake zamani za kale, naye amejulikana kuwa ndiye mwanadamu; wala hawezi kabisa kushindana na yeye aliye na uwezo kuliko yeye mwenyewe.

Mhu. 6

Mhu. 6:9-11