Katika kujidhili kwake hukumu yake iliondolewa.Ni nani atakayeeleza kizazi chake?Kwa maana uzima wake umeondolewa katika nchi.