Mdo 8:32 Swahili Union Version (SUV)

Na fungu la Maandiko alilokuwa akilisoma ni hili,Aliongozwa kwenda machinjoni kama kondoo,Na kama vile mwana-kondoo alivyo kimya mbele yake amkataye manyoya,Vivyo hivyo yeye naye hafunui kinywa chake.

Mdo 8

Mdo 8:24-39