Mdo 8:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Siku ile kukatukia adha kuu ya kanisa lililokuwa katika Yerusalemu; wote wakatawanyika katika nchi ya Uyahudi na Samaria, isipokuwa hao mitume.

2. Watu watauwa wakamzika Stefano, wakamfanyia maombolezo makuu.

Mdo 8