Mdo 7:60 Swahili Union Version (SUV)

Akapiga magoti, akalia kwa sauti kuu, Bwana, usiwahesabie dhambi hii. Akiisha kusema haya akalala. Na Sauli alikuwa akiona vema kwa kuuawa kwake.

Mdo 7

Mdo 7:56-60