Nanyi mlichukua hema ya Moleki,Na nyota za mungu wenu Refani,Sanamu mlizozifanya ili kuziabudu;Nami nitawafahamisha mwende mbali kupita Babeli.