Basi Mungu akaghairi, akawaacha ili waliabudu jeshi la mbinguni, kama ilivyoandikwa katika chuo cha manabii,Je! Mlinitolea mimi dhabihu na sadakaMiaka arobaini katika jangwa, enyi nyumba ya Israeli?