akisema,Enenda kwa watu hawa, ukawaambie,Kusikia, mtasikia wala hamtafahamu;Na kuona, mtaona wala hamtatambua;