Mdo 15:12 Swahili Union Version (SUV)

Basi mkutano wote wakanyamaza, wakawasikiliza Barnaba na Paulo wakiwapasha habari za ishara na maajabu, ambayo Mungu aliyafanya kwa ujumbe wao katika Mataifa.

Mdo 15

Mdo 15:8-22