Tena ya kuwa alimfufua katika wafu, asipate kurudia uharibifu, amenena hivi,Nitawapa ninyi mambo matakatifu ya Daudi yaliyo amini.