ya kwamba Mungu amewatimizia watoto wetu ahadi hiyo, kwa kumfufua Yesu; kama ilivyoandikwa katika Zaburi ya pili,Wewe ndiwe Mwanangu, mimi leo nimekuzaa.