Lk. 11:53-54 Swahili Union Version (SUV)

53. Alipotoka humo, waandishi na Mafarisayo walianza kumsonga vibaya, na kumchokoza kwa maswali mengi,

54. wakimvizia, ili wapate neno litokalo kinywani mwake.

Lk. 11