Lk. 12:1 Swahili Union Version (SUV)

Wakati huo, makutano walipokutanika elfu elfu, hata wakakanyagana, alianza kuwaambia wanafunzi wake kwanza, Jilindeni na chachu ya Mafarisayo, ambayo ni unafiki.

Lk. 12

Lk. 12:1-6