Kut. 6:13 Swahili Union Version (SUV)

BWANA akanena na Musa na Haruni, akawaagiza wawaendee wana wa Israeli, na Farao, mfalme wa Misri, ili awatoe hao wana wa Israeli katika nchi ya Misri.

Kut. 6

Kut. 6:5-18