Kut. 6:12 Swahili Union Version (SUV)

Musa akanena mbele ya BWANA, akasema, Tazama, hao wana wa Israeli hawakunisikiza mimi; basi huyo Farao atanisikizaje, mimi niliye na midomo isiyo tohara?

Kut. 6

Kut. 6:2-15