Kut. 40:23-25 Swahili Union Version (SUV)

23. Akaipanga ile mikate juu yake mbele za BWANA; kama BWANA alivyomwamuru Musa.

24. Kisha akakitia kinara cha taa ndani ya hema ya kukutania, kuikabili ile meza, upande wa maskani ulioelekea kusini.

25. Kisha akaziwasha taa zake mbele za BWANA, kama BWANA alivyomwamuru Musa.

Kut. 40