Kut. 39:43 Swahili Union Version (SUV)

Musa akaiona hiyo kazi yote, na tazama, walikuwa wameimaliza; vile vile kama BWANA alivyoagiza, walikuwa wameifanya vivyo; basi Musa akawaombea heri.

Kut. 39

Kut. 39:42-43