Kut. 40:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. BWANA akanena na Musa, na kumwambia,

2. Siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza utaisimamisha hiyo maskani ya hema ya kukutania.

Kut. 40