Kum. 8:19 Swahili Union Version (SUV)

Lakini itakuwa, kama ukimsahau BWANA, Mungu wako, na kuiandama miungu mingine, na kuitumikia na kuiabudu, nawashuhudia leo ya kuwa mtaangamia bila shaka.

Kum. 8

Kum. 8:16-20