Kum. 8:18 Swahili Union Version (SUV)

Bali utamkumbuka BWANA, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo.

Kum. 8

Kum. 8:11-20