Na Israeli anakaa salama,Chemchemi ya Yakobo peke yake,Katika nchi ya ngano na divai;Naam, mbingu zake zadondoza umande.