Mungu wa milele ndiye makazi yako,Na mikono ya milele i chini yako.Na mbele yako amemsukumia mbali adui;Akasema, Angamiza.